uniiite tukaribu unitembelee mimi
basi sikukuu ya noel uje nitakuchinjia na mbuzi,uniiite tu
hapa nasubiri mualiko hela ya nauli ninayo
Upo mkoa gani kanda ya Ziwa. Nije tuyajengeNa sie hatukuhitaji
Maisha ya watanzania na waafrika wengi kwa ujumla yanafanana.Mimi natamani nifike kila Mkoa..nikichojifunza ni kuwa kuna maeneo huwa tunasikia ni kubaya ila ukifika unakuta ni sawaa tuu na ulikotoka au tofauti ni ndogo tuu na kuna watu wanaishi maisha bora kuliko hata nilikotoka..mfano Sumbawanga Rukwa au Mpanda Katavi,
Klm marine nauli pesa ngapi ?ni heri upite kwenye maji na Kilimanjaro marine kuliko hizo zinazopita huko juu!
ukija kufika Zanzibar utakuja kuEdit hii comment yako.
uwiiii nimekumbu thupu ya mbusi...nialike tu jamanbasi sikukuu ya noel uje nitakuchinjia na mbuzi,
mualiko ngoja niuandae kabisa.
Mkuu, huo mkoa una kashfa nyingi sana kwa mwanamume mwenye amekamilika...tehteehh .Hivi unaishije Tanzania kisha unasema wewe ni Mtanzania wakati hujafika Da'slaam?
hahahahahhahaah mie naogopa nikifika Zenji nitakuja tafuta Mbusi katoliki niikoseni heri upite kwenye maji na Kilimanjaro marine kuliko hizo zinazopita huko juu!
ukija kufika Zanzibar utakuja kuEdit hii comment yako.
tehMkuu, huo mkoa una kashfa nyingi sana kwa mwanamume mwenye amekamilika...tehteehh .
hiyo mbusi katoliki ipo sana bwana ila sio mtaani kama huko bara, kuna hotel ukienda unapata safi kabisa.hahahahahhahaah mie naogopa nikifika Zenji nitakuja tafuta Mbusi katoliki niikose
so nimeamua kutoenda kabisa
noel ikikaribia nitasema usijali, thupu ya kichwa au mkia?uwiiii nimekumbu thupu ya mbusi...nialike tu jaman
You don't need to write an invitation letter...wewe sema tu hapa mie nakuja
Mkuu nakuja jumapili nichukue Mashamba hapo kakese, au igaka, naomba ikiwezekana tuonane tupeane mawazo tofauti kuhusu kilimo cha mpunga huko Kama ni mdau Wa kilimo lakini.Mpanda sio Mkoa ni Katavi,,,,,,,,,,,ulifika mara ya mwisho lini? Na ulipita njia ya wapi ambayo barabara ni mbaya????
Mkoa wa koromije sijafika nasubiri reli ikamilike niende!
Unakosea sana mkuu Tabora pako Bomba sana nakukaribisha tembelea siku mojaTanzania tuna mikoa mingi na kila mkoa una tamaduni zake na historia yake ambayo inavutia.kuna watu ambao tunapenda kusafiri kutalii mikoa hiyo ili kujionea yanayosemwa kuhusu mkoa huo.lakini ipo mikoa ambayo huna habari nayo kabisa yaani huoni hata ikikushawishi aidha kikazi au biashara au hata kuifikia.mimi mkoa wa Lindi sitaki hata kujua Kama nitaenda wa pili tabora