Taja mkoa ambao hujawahi kufika na Wala huna mpango kabisa wa kuitembelea

Mpanda sio Mkoa ni Katavi,,,,,,,,,,,ulifika mara ya mwisho lini? Na ulipita njia ya wapi ambayo barabara ni mbaya????
Mkuu barabara mbaya kule kuanzia tabora kwenda mpanda mjini kisha kuelekea mpimbwe huko vumbi tupu na mashimo ovyo na kuanzia kibaoni kwao na pinda lami kiasi kisha vumbi
 
Una akili sana wewe, siku nafika sumbawanga sikuamini nilichokikuta mji mzuri kuliko nilivyokuwa nikiufikilia
 
Sasa hivi kupo vizuri, njia ambayo sio nzuri ni ya kupita Tabora tu. Ila ya kupita Lyamba Lya Mfipa ipo vizuri sana, yote ina lami isipokuwa mbugani tu.
Hii ya kupita sitarike, kibaoni,usevya,mbede hadi maji moto kuna lami mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…