Reginald L. Ishala
JF-Expert Member
- Jun 18, 2011
- 3,810
- 6,789
Uchuro!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Classification of frogChura ni Mnyama katika kundi la Amphibia
Naam mkuu.Classification of frog
Domain - Eukarya
Kingdom - Animalia
Phylum - Chordata
Subphylum - Verebrata
Class - Amphibia
Order - Anura
Suborder - Neobatrachia
Family - Ranidae
Genus - Rana
Species - Rana pipiens
[emoji106]
Bios mziki mwingine[emoji1] [emoji1] ,maneno yake kuyatamka lazima uwe na tongue guard otherwise utajing'ata ulimi kila saaNaam mkuu.
Ni rahisi sana kukumbuka Class kwa elimu ya Shule ya msingi[emoji2] sio kama deeply kisec sec
Hahahahaaaa.Bios mziki mwingine[emoji1] [emoji1] ,maneno yake kuyatamka lazima uwe na tongue guard otherwise utajing'ata ulimi kila saa
Aisee ulipotelea wapi Mkuu... huwa namiss sana comments zakoKufuli / Makufuli
Jamani hivi watu ndo mmeamka na akili gani hii weekend yote hii au bado stress za 1.5T bado[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yani hii ni zaidi ya magazijuto mkuu naona ni mwendo wa kutoa haiwezekani unakopa tuView attachment 758763
Magazijutoo unayajua?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] yani hii ni zaidi ya magazijuto mkuu naona ni mwendo wa kutoa haiwezekani unakopa tu
Yani hapa nmecheeka hadi wananishangaa watu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii katuni imenivunja mbavu aisee
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kuna mchiz school aliwehuka karibia na paper la necta, bios ya advance kwa tz ni hatariousHahahahaaaa.
Mkuu mimi nishafaulu, kwa sasa nipo mweupe tu kichwani.
Bios isikie tu kwa jirani hasa Advanced Biology[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]