Taja mnyama mwenye jina la umoja na wingi

Taja mnyama mwenye jina la umoja na wingi

Chura ni Mnyama katika kundi la Amphibia
Classification of frog
Domain - Eukarya
Kingdom - Animalia
Phylum - Chordata
Subphylum - Verebrata
Class - Amphibia
Order - Anura
Suborder - Neobatrachia
Family - Ranidae
Genus - Rana
Species - Rana pipiens
[emoji106]
 
Classification of frog
Domain - Eukarya
Kingdom - Animalia
Phylum - Chordata
Subphylum - Verebrata
Class - Amphibia
Order - Anura
Suborder - Neobatrachia
Family - Ranidae
Genus - Rana
Species - Rana pipiens
[emoji106]
Naam mkuu.

Ni rahisi sana kukumbuka Class kwa elimu ya Shule ya msingi[emoji2] sio kama deeply kisec sec
 
Naam mkuu.

Ni rahisi sana kukumbuka Class kwa elimu ya Shule ya msingi[emoji2] sio kama deeply kisec sec
Bios mziki mwingine[emoji1] [emoji1] ,maneno yake kuyatamka lazima uwe na tongue guard otherwise utajing'ata ulimi kila saa
 
Bios mziki mwingine[emoji1] [emoji1] ,maneno yake kuyatamka lazima uwe na tongue guard otherwise utajing'ata ulimi kila saa
Hahahahaaaa.

Mkuu mimi nishafaulu, kwa sasa nipo mweupe tu kichwani.

Bios isikie tu kwa jirani hasa Advanced Biology[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Jamani hivi watu ndo mmeamka na akili gani hii weekend yote hii au bado stress za 1.5T bado[emoji23] [emoji23]

IMG_20180428_113813.jpg

Magazijutoo unayajua?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yani hii ni zaidi ya magazijuto mkuu naona ni mwendo wa kutoa haiwezekani unakopa tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hii katuni imenivunja mbavu aisee
 
Hahahahaaaa.

Mkuu mimi nishafaulu, kwa sasa nipo mweupe tu kichwani.

Bios isikie tu kwa jirani hasa Advanced Biology[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji1] [emoji1] [emoji1] kuna mchiz school aliwehuka karibia na paper la necta, bios ya advance kwa tz ni hatarious
 
Back
Top Bottom