Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Viumbe hai ni mimea na wanyama. Ulikua unajua mjusi ni mmea?Kenge\vyenge
Mamba\mimamba
Tumbili\tutatu
Kumbe mjusi ni mnyama
[emoji16][emoji16]watu mafala???....Tumbili/Tutatu?
Viumbe hai ni mimea na wanyama. Ulikua unajua mjusi ni mmea?
Ni ndegePanya n mnyama????
Naelewa mkuu ilikuwa mbwembwe na jokes tuUzi ni wa kiswahili mzee
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mjusi ni mnyama katika kundi la Reptile(Reptilia).Kenge\vyenge
Mamba\mimamba
Tumbili\tutatu
Kumbe mjusi ni mnyama
Mwenyw nimeshangaa nkafrk sikuelewag bios ase[emoji23]Chura n mnyama????
NdioKenge\vyenge
Mamba\mimamba
Tumbili\tutatu
Kumbe mjusi ni mnyama
Chura n mnyama????
Chura ni Mnyama katika kundi la AmphibiaMwenyw nimeshangaa nkafrk sikuelewag bios ase[emoji23]