Taja rafiki ambaye alifariki dunia mapema sana na huwezi kumsahau!

Georgina Audax,tulikuwa nae Mabibo PR 1998.sasa mwaka 2001 baada ya kupoteana kwa miaka mitatu shuleni.Siku moja nikiwa darajani riverside (kwa sasa mwanzo wa fry over) niliuona msafara wa mazishi kuanzia eneo la mwanzo wa hostel (mabibo hostel) nikawa nautazama kuanzia mwanzo mpaka mwisho bila ya mimi kuacha kusimama.
Baada ya wiki naambiwa aliyefariki ni Georgina Audax,aliumwa na alipata changamoto ya akili amefariki.nilisikitika sana kwa sababu ni miongoni mwa wanafunzi waliokuwa role modal kwa wengi.kwa kupenda hesabu harafu mtu simple.
 
Heartbroken asee pole sana
 
Pole sana bro,
Nasoma huku nafuta machozi
Kilio cha ghafla kinauma sana
Ndugu yangu alikufa ghafla pia, pole saanaa
 
RIp my step brother jay tzapaporous..mwanangu tom borsen...ndoto zenu ntajitahidi kutimiza
 
Wakuu poleni sana.
Nilitaka kuwazungumzia marehemu wangu namna walivyoondoka na naendelea kuwambuka.
Lakini maombolezo yenu yamenigusa.
Rest in peace🙏🙏
 
Nilitaka niandike yangu, ila nimesoma comments zote , moyo umeniuma sana na kurudisha kumbukumbu za kusikitisha sana kwangu.

Sitoutembelea tena huu uzi
 
John kayabu(johsley) kazima high school tabora uliondoka kwa typhoid uliwaomba ruhusa walimu wakahisi unawadanganya kwakuwa ulikuwa mtata kidogo shuleni tutakukumbuka daima rapa ulikuwa unarap sana johsley daah😣
 
R I P
Francis Fred mwanza
Edward kichali DSM
Tumanini Meta Manyara
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…