Acha kabisa ni kubwagana kinyama tuu. Sasa hawa ndio uweke ndani sii full stress mwanawaneWakishua Hawa.....hawajui kuwa wengine tulikimbia umande [emoji23][emoji23]
Kwa hiyo ndoa Ni hatari?Mkuu ...nadhani umelisikia tukio lililotekea huku kwetu mbeya[emoji23][emoji23]
Mwanandoa ka kill mke + watoto
Pombe lazima itakudrive kwenye ndoa
Kweli ila nikilewa uwa naenda kulala sikumbuki mtu aseeeNackia pombe inaamsha kichwa cha chin
Kama wewe unajua shida iko wapi si unamfundisha kusonga ugali!Hata kupika ugali hawajui