Taja raha za kuwa single ili wenye ndoa wajifunze

Subiria ufike miaka 50 kuendelea na utamani hata mwenza wa kuokota .
 
Hii ni sawa mtu kuwaambia wezake, Darasa la awali wataje njia/mbinu za kujifunza kusoma na kuhesabu. Ili wale wanajua kusoma na kuhesabu,wajifunze kutoka kwao.
Invalid comparison....Kuna watu ambao Ni maprofessional kwenye usingle....mf. tuna watoto kabisa
 
Kama wewe unajua shida iko wapi si unamfundisha kusonga ugali!
By nature hayo ni majukumu yake lazima ajue kupika ugali.....labda mm kazi yangu itakuwa ni kumuelekeza kuwa....nahitaji ugali mgumuu[emoji23][emoji23]
 
Hakunaga kitu cha ‘single and happy’[emoji38][emoji38][emoji38]tafuta wa kukupenda we sio jini buanaaa
Mkuu...wewe unauzoefu gan hapo.....single / married
 
Hakuna anayemfuga mwenzake
 
Subiria ufike uzee ndo utajua kama kuwa single ni dili au sio dili
 
Tumpe somo .....raha tunazozipata huku[emoji23][emoji23]
Ah wee bwana usingle raha yake uhuru ila bwana asikwambie mtu upweke nomaaaa unajikuta unaishi but kuna kitu unamiss tuu. Tule mbususu kwa kweli ila kuna that emotional side acha kabisa bado una feel upo empty
 
Ah wee bwana usingle raha yake uhuru ila bwana asikwambie mtu upweke nomaaaa unajikuta unaishi but kuna kitu unamiss tuu. Tule mbususu kwa kweli ila kuna that emotional side acha kabisa bado una feel upo empty
Umesahau na ile tabia yetu sisi single Boyz ya kuchukia ghafla bila kujielewa

+

Kukuna p*mb* kila alfajiri unavyoamka[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…