Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
- Thread starter
-
- #241
Tenga muda sasa uicheki vzr, jitahidi uvumilie season 1&2 huko mbeleni hutotaka iishe.At least umenipa moyo kdg, mm nimeangalia season 1 episode ya kwanza nikaishia pale jamaa anakatwa kichwa kwenye gogo. Nikaona mizinguo
Aliishia kwenye mikono ya mahonne.Hakuna mtu alienifanya niipende Prison Break kama mwanangu Nigga Wyatt Mathewson!
Super nigga!
Nimeitafuta sana huku kwetu haipo mpk nimechoka hiyo movie naikubalii sanaThe Strain ipo season 4...5
Na hapo kwenye hiyo video mahonne alipowaona tu Sarah na sucre akajua Leo natembea.Hakuna mtu alienifanya niipende Prison Break kama mwanangu Nigga Wyatt Mathewson!
Super nigga!
Watu hawampendi kabisa sababu ya ukatili wake...Aliishia kwenye mikono ya mahonne.
Nlimchukia Wyatt really
Mimi hua nina file lake maalumu..mzuka ukinipanda tu najicheckia..Na hapo kwenye hiyo video mahonne alipowaona tu Sarah na sucre akajua Leo natembea.
Hiyo series ntakuja iangalia tena upya na mwanangu Abouy
24Napenda ile misemo yao
"They coming"
"Who is coming"?
"Others"
Who is others?
HahahahaWatu hawampendi kabisa sababu ya ukatili wake...
Biggest black villain ever aisee!
Unawezeje kunitumia hilo aisee???Mimi hua nina file lake maalumu..mzuka ukinipanda tu najicheckia..
Ile ni kama dawa mkuu!
the americansBinafsi napenda sana movie za kiinteligensia zaidi
Hapa ndio nimeenza Leo kuicheki hii movie nione kama yaliyomo yomoMkuu tenga muda itafute uitazame, utainjoi sana, bonge moja la series.
Angalizo:
Season 1&2 zinahitaji uvumilivu na wengi huacha kutazama hapo, ila ukijikaza huko mbeleni ni moto sana!
Pia usitizame mbele ya familia, UTAAIBIKA.
GB za kufwa mtu mshua.....Unawezeje kunitumia hilo aisee???
hivi nipo peke yangu au tupo wengi ambao hatujaangalia hata kipande kimoja cha game of thrones ?
Homeland tupo pamoja24
Prison break
Homeland
Kwa wakorea shkamoo IRIS