Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Hakuna mtu alienifanya niipende Prison Break kama mwanangu Nigga Wyatt Mathewson!

Super nigga!


Na hapo kwenye hiyo video mahonne alipowaona tu Sarah na sucre akajua Leo natembea.

Hiyo series ntakuja iangalia tena upya na mwanangu Abouy
 
Boardwalk empire
House of card
Breaking bad
Dare devil

Game of thrones ilinishinda sijui kwanini
 
Mkuu tenga muda itafute uitazame, utainjoi sana, bonge moja la series.

Angalizo:
Season 1&2 zinahitaji uvumilivu na wengi huacha kutazama hapo, ila ukijikaza huko mbeleni ni moto sana!

Pia usitizame mbele ya familia, UTAAIBIKA.
Hapa ndio nimeenza Leo kuicheki hii movie nione kama yaliyomo yomo
 
Unawezeje kunitumia hilo aisee???
GB za kufwa mtu mshua.....

Na jinsi sina hata accounts za torrents,kukupa ni utata!

Na mimi hua siwezi onana na mtu ana kwa ana whatsoever!

Ni heri ujiunge netflix mkuu ipo wameweka kuanzia March 2019.

Dola 11 per month tu wala sio ghali!

Unakula kama kidonge mshua.....!

Au kama vipi download kwenye matorrents huko yapo kibao!
 
Back
Top Bottom