Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Lacasa de papel huu mzigo ni hatari sana kuna muda hua najuta kwann nimeuona mapema naona bora ningekua sijaiona ili nianze kuiona tena na tena
1...NIKKITA
2... la casa de papel
3... Man called god ( choi kha ta)
 
Jamani wapenzi wa power .itakuwa last season. Season 6. Episode 15 badala ya 10 . Season 6 itaanza rasmi August 25. I can't wait. Ni one of my favourite tv series. Ghost na rafiki yake sijui watakuwa maadui?
 
1. 24 Hrs
2. Nikita
3. Chuck


Nilifuatilia rates za IMDB na comments kama hizi kuhusu best series nikaona Breaking Bad imekuwa rated juu sana, si nikaidownload yote bana. Daaa yani sjawahi kuelewa haswa ni nini kilisababisha ile muvi ipo rated high hivyo, yani sjaona sababu kabisaaa. Kuna movie kama designates survivor ya ukwel sana ila haiifikii hiyo breaking bad jinsi wamei rate juu. Sijawai ielewa kabisa hiyo breaking bad, najarib kila mara kujilazimisha naangalia epsod moja moja labda ntaona jipya mpaka nimemamiliza season 1 sjaona cha maana.

Kweli watu tonatofautiana sana.
 
Billions mbona hamuitaji?
hii series ni extra-ordinary...hasa kwa sisi wakongwe wa series ndio tunaujua utamu wa kitu kama hizi,wengi mmekariri series za ngumi tu..mwanye nafasi ambaye anajielewa na ni mfuasi wa vitu vizuri ajaribu kuisaka na hii then aje na mrejesho,ina mdomo kama wote!
 
1. Silicon valley
2. Mentalist
3. Boston legal ("denny crane")

Napenda series ntakayo jifunza ki2 kipya katika kila episode na yenye comedy yenye uhalisia. sio unaangalia series umenunanuna tu kama vile Games of thrones..
Tyrant ushaiona?
 
Homeland au hyo nyingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…