Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yeah mwaka huu itatoka nadhan kwenye September huko
1...NIKKITA
2... la casa de papel
3... Man called god ( choi kha ta)
Namkubali sana Tokyo,Lacasa de papel huu mzigo ni hatari sana kuna muda hua najuta kwann nimeuona mapema naona bora ningekua sijaiona ili nianze kuiona tena na tena
Kweli mkuu naunga mkono hoja..Hakutakuwa na haitatokea series tamu dunianai kama 24
Mimi pia mkuu wala haijanishawishi kabisahivi nipo peke yangu au tupo wengi ambao hatujaangalia hata kipande kimoja cha game of thrones ?
BIG YESCity hunter itakuwa
Ndio mkuu, niliiona na naikubali sana bado ninayo season 1hadi3.Unajua waliifungia? Thus y haikuendelea tena season 4 nakuendelea.Kuna mixer ya waarabu wa kutosha tu,vipi umeiona?
Basi jamaa wametisha sana.Yeah ni kweli
Tyrant ushaiona?1. Silicon valley
2. Mentalist
3. Boston legal ("denny crane")
Napenda series ntakayo jifunza ki2 kipya katika kila episode na yenye comedy yenye uhalisia. sio unaangalia series umenunanuna tu kama vile Games of thrones..
Homeland au hyo nyingine?Dah, kama ni mdau wa mambo ya ujasusi hii ndio bora muda wote.
Nilichofurahia inahusisha sehemu mbali mbali nje ya marekani, kama Taliban, Afghanistan, Beiruti, nk unajionea culture mbali mbali na kivipi jasusi huweza kucope na mazingira yenye tamaduni tofauti na yeye ( being a chameleon).
Kingine imejitahidi kuonesha mwanamke alivyo fit kukabili maadui.
Na mwisho, imeonesha agenda kubwa za siri kati ya marekani na middle east kwa mapana zaidi na vipi huwa zinakuwa resolved.
Nimejaribu kutafuta spy series za namna hii bhado sijapata .
Natamani nipate yenye CIA, Mossad, ISIS Na KGB.
Kwakweli, kwa Wakorea IRIS inastahili shikamoo.24
Prison break
Homeland
Kwa wakorea shkamoo IRIS