Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

danh mzigo mkali kinoma ndo maana watu wanautaka urais kufa kupona
Wanautaka lakini Designated imenifunza kuwa uraisi kazi ngumu, yani ni mzigo mzito, mpaka nashangaa sana why watu bado wanaupigania sana mpaka kutoana roho.
 
Kim Tae-hee kama Choi Seung Hee, Lee Byung-hun kama Hyeon-jun Kim pamoja na Kim So-yeon kama Kim Seon-Hwa, zile nyimbo ikiingia tu youtube ukaandika IRIS sound tracks mzigo wote unamwagika mkuu.
Sijawahi ona Series kali ya Korea kama Iris..wale jamaa walijipanga sema tu mwisho hawakumaliza vizuri.
 
Prison break
24
Iris(sijawahi ona movie kali ya wakorea kuzidi hii)
Itawachukua muda mrefu sana kuja na story kali sana kama IRIS, it's my favorite Korean series, nishairudia mara kibao na bado ntairudia na ndo pekee nayoweza kuangalia kutoka Korea mpaka watakapokuja na kitu kingine kikali zaidi ya IRIS.
 
Sijawahi ona Series kali ya Korea kama Iris..wale jamaa walijipanga sema tu mwisho hawakumaliza vizuri.
Kule mwisho iliisha kiajabu ajabu but wanasema ATHENA ni muendelezo wa ilipokomea IRIS, hata ukiiangalia Seon HWA yupo kwenye Athena pia kama agent alikimbilia kuishi ulaya baada ya mchakato wa IRIS.
 
Niliwahi kusikia kuwa haikupaswa kuisha vile,inaonekana kuna jambo halikuwa sawa wakashindwa kumaliza series..

Na yule jamaa star alishakuwa maarufu wakashindwa kumkeep ...

Hata hiyo Athena ni nzuri ila haikuwa kitu kwa Iris.
Kule mwisho iliisha kiajabu ajabu but wanasema ATHENA ni muendelezo wa ilipokomea IRIS, hata ukiiangalia Seon HWA yupo kwenye Athena pia kama agent alikimbilia kuishi ulaya baada ya mchakato wa IRIS.
 
One of the bests ile bruh tulia tena tulia tena mm mwenyewe nilikuwa kama wewe.
 
Niliwahi kusikia kuwa haikupaswa kuisha vile,inaonekana kuna jambo halikuwa sawa wakashindwa kumaliza series..

Na yule jamaa star alishakuwa maarufu wakashindwa kumkeep ...

Hata hiyo Athena ni nzuri ila haikuwa kitu kwa Iris.
Yeah, inawezekana coz baada ya IRIS 1 tu Kim yun jun alipata shavu Hollywood.
 
Pengine sio series ya mahadhi yako mkuu
 
Pengine sio series ya mahadhi yako mkuu
Kweli kabisa, it's not for him
Si umeona series anazozipenda zina ngumi, ujasusi, bunduki kwa wingi
Mi siwezi kuangalia series kama hizo, kwanza zote nazifahamu kitambo ila sijawah vutiwa kuangalia ata season 1
Ila Breaking Bad is my top series of all time.. WALTER WHITE alitisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…