1. 24 Hrs
2. Nikita
3. Chuck
Nilifuatilia rates za IMDB na comments kama hizi kuhusu best series nikaona Breaking Bad imekuwa rated juu sana, si nikaidownload yote bana. Daaa yani sjawahi kuelewa haswa ni nini kilisababisha ile muvi ipo rated high hivyo, yani sjaona sababu kabisaaa. Kuna movie kama designates survivor ya ukwel sana ila haiifikii hiyo breaking bad jinsi wamei rate juu. Sijawai ielewa kabisa hiyo breaking bad, najarib kila mara kujilazimisha naangalia epsod moja moja labda ntaona jipya mpaka nimemamiliza season 1 sjaona cha maana.
Kweli watu tonatofautiana sana.