Mimi sikuamini kabisa kama Brody ndio anakufa mazima nilitegemea awepo mpaka mwisho wa series, Dah.Niliumia sana yule jamaa kunyongwa. Ilinichukua muda sana kuja kuendeleza kuangalia season 4
Yani director akisikia hivi ana furahi sana maana ujumbe kwa hadhira unakua umefika kumbuka pale wanaigiza lakini limegusa mpaka moyoni sio mchezo watu na kazi zaoNiliumia sana yule jamaa kunyongwa. Ilinichukua muda sana kuja kuendeleza kuangalia season 4
Max,Peter Quinn au Saul?yupihii kitu hatari sana kuna matukio ya kuogofya sana kule Iraq Carry alikuwa anacheza kama Pele afu kuna jamaa alikuwa geniuos sana kamsave sana Carry nimesahau jina lake
MERLIN naipenda sana aisee THE STRAIN sijui imeshatoka season 2 nimetokea kuielewa sana ,INTO THE BAD LANDS ,SLEEPY HOLLOW yaitaitaj moyo kuingalia ila ni nzurii
Mimi nina series mbili kwenye computer sijawahi kufikiri kuzifuta. Game of Thrones na Suits. I wished Mike and Rachel and Jessica never left the suit crew. They made it to be like a family which you wish you are a member.SUITs habari nyingine, imenifanya hadi natamani kuwa mwanasheria.
To me this is one among the best 3 series I've ever watched.
Sijaiona naham nayo sanathe strain imeisha season ya 3
Dah wewe ni mzee wa TVT. Enzi hizo..sikuianza wala sikuimaliza ila nimeitafuta mpaka leo sijaipata. Nawashangaa watoto siku hizi wanaangalia series za kikorea zilizotafsiriwa wanajazana sebuleni wakati hazina hata mvuto. Kulikua na Timeless, The Long wait, It might be you, Maging sino ka man yani kusoma hapo hakuna. Nowdays Philiphines movies na series zimenitoka nimebaki na wamarekani. I wish watoto wangezaliwa kipindi hicho sio leo sijui wanaangalia Sultan mtu anagandishwa robo saa dah wamekosa vingi.The long wait ndio series ambayo hadi mzee wangu alikuaanaicheki
Mbona imeisha hiyo tayariMERLIN naipenda sana aisee THE STRAIN sijui imeshatoka season 2 nimetokea kuielewa sana ,INTO THE BAD LANDS ,SLEEPY HOLLOW yaitaitaj moyo kuingalia ila ni nzurii
Nitaifatilia nadhan nitaipata tuuMbona imeisha hiyo tayari
1.Prison BreakKufuatia kumalizika kwa Msimu wa 8 wa Game Of Thrones ambayo kimsingi imefikia ukingoni, leo tutaje Series 3 bora ambazo umewahi kutazama.
Mimi naanza na hizi
1. Breaking bad
2. Game of Thrones
3. 24
Waliiharibu walipoanza kuingiza (magic issues)daah umenikumbusha mbali LOST nakumbuka niliangalia SIX MONTH mzee
Mwanzoni unaweza kukereka, lakini ukiweza kuangalia episodes 2 basi lazima uikubaliYaani nilijaribu hata dakika 10 nilishindwa.
Ila kila kona inatajwa.
Power nayo kali mno, Ghost na Tommy ni shida-24
-Power
-Killing Eve
Revolution asee..dah.1.Prison Break
2.Revolution (bahati mbaya ilikatishwa)
3.IRIS
4.Nikita
5.Slave Hunter
Zipo nyingi sana kali
Pole, ila naona nayo waliiharibu mwishoniArrow by Oliver queen ilinipa kasupp kamoja. Kakipumbavu sana
Hii mimi nimeirudia, japo imeishia kati lakini nimeirudia mara kadhaaRevolution asee..dah.
1 of the best ever..
Nampango niipakue upya niangalie tena..
Dam itHakutakuwa na haitatokea series tamu dunianai kama 24