Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Niliumia sana yule jamaa kunyongwa. Ilinichukua muda sana kuja kuendeleza kuangalia season 4
Yani director akisikia hivi ana furahi sana maana ujumbe kwa hadhira unakua umefika kumbuka pale wanaigiza lakini limegusa mpaka moyoni sio mchezo watu na kazi zao
 
SUITs habari nyingine, imenifanya hadi natamani kuwa mwanasheria.
To me this is one among the best 3 series I've ever watched.
Mimi nina series mbili kwenye computer sijawahi kufikiri kuzifuta. Game of Thrones na Suits. I wished Mike and Rachel and Jessica never left the suit crew. They made it to be like a family which you wish you are a member.
 
The long wait ndio series ambayo hadi mzee wangu alikuaanaicheki
Dah wewe ni mzee wa TVT. Enzi hizo..sikuianza wala sikuimaliza ila nimeitafuta mpaka leo sijaipata. Nawashangaa watoto siku hizi wanaangalia series za kikorea zilizotafsiriwa wanajazana sebuleni wakati hazina hata mvuto. Kulikua na Timeless, The Long wait, It might be you, Maging sino ka man yani kusoma hapo hakuna. Nowdays Philiphines movies na series zimenitoka nimebaki na wamarekani. I wish watoto wangezaliwa kipindi hicho sio leo sijui wanaangalia Sultan mtu anagandishwa robo saa dah wamekosa vingi.
 
MERLIN naipenda sana aisee THE STRAIN sijui imeshatoka season 2 nimetokea kuielewa sana ,INTO THE BAD LANDS ,SLEEPY HOLLOW yaitaitaj moyo kuingalia ila ni nzurii
Mbona imeisha hiyo tayari
 
Kufuatia kumalizika kwa Msimu wa 8 wa Game Of Thrones ambayo kimsingi imefikia ukingoni, leo tutaje Series 3 bora ambazo umewahi kutazama.

Mimi naanza na hizi
1. Breaking bad
2. Game of Thrones
3. 24
1.Prison Break
2.Revolution (bahati mbaya ilikatishwa)
3.IRIS
4.Nikita
5.Slave Hunter

Zipo nyingi sana kali
 
1.Prison Break
2.Revolution (bahati mbaya ilikatishwa)
3.IRIS
4.Nikita
5.Slave Hunter

Zipo nyingi sana kali
Revolution asee..dah.
1 of the best ever..
Nampango niipakue upya niangalie tena..
 
Revolution asee..dah.
1 of the best ever..
Nampango niipakue upya niangalie tena..
Hii mimi nimeirudia, japo imeishia kati lakini nimeirudia mara kadhaa

Series nyingine iliyoishia kati lakini kali sana ni 24 Legacy
 
Back
Top Bottom