Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Aisee hii series mpaka page hii imepigiwa promo kinoma na sijajua kama 24 ndio jina lake kamili au wamefupisha.
Maana nimeingia web nimekutana na 24 legacy, 24 hours nimebaki nimeduwaa sijui ipi kati ya hizo imepewa high rates hapa
24 ndio jina lake na LOGO yake kwangu mm ni bonge la picha hewezi kumbuka vingine hata msosi unaweza sahau kula niliipenda kuliko 24 Legacy

google hapa
jack bauer kiefer sutherland 24 - Google Search
 
24Hours ni the best series ever.
Kama hujawahi kuiona, weka kwenye list yako.

Weka Perky Blinders. Hii series ina umafia sana humo ndani. Muda wote watu wamewaka!

Ongezea na hii ya kuitwa Gangs Of London (2020).

Hiyo mizigo yote ukiicheki, nakuahidi hutojuta!!
 
Napenda sana character wa namna hii... Wanaitwa watu wenye silver tongue
kama Raymond Redington kwenye Blacklist
Hata kwenye maisha ya uhalisia wapo sana hawa watu
Hapa mnaongelea series ipi wakuu mmeniacha njia panda
 
[emoji2][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni ngumu sana kuelewa zile series...
Jumong sijawahi kuielewa mwanzo mpaka mwisho wanaruka ruka tu na mashuka yao
 
Mimi sikuamini kabisa kama Brody ndio anakufa mazima nilitegemea awepo mpaka mwisho wa series, Dah.

Nashangaa siichoki homeland kuirudia upya nipo season ya 2, nairudia.
Mimi baada ya jamaa kufa nilishindwa kuendelea mpaka kesho s5 niliishusha lakin nikaangalia ep1 nikaacha.
 
Yayayayayayaaa angalia vzr ile mambo woooi[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…