Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

Taja Series 3 Bora Ulizowahi Kutazama

24

The last ship

The blacklist (japo naona wanafanya story iwe ndefu mno

your honor (yoo mr white [emoji16][emoji16]
 
Kama we ni mpenz wa series na hujawai angalia QUEEN OF THE SOUTH (season 1-5)bas jihesabie hujawai kuona kazi ya mikono nzuri.
Mwenye uzi kasema only 3[emoji2][emoji2]..
Lakini QOS haiwezi kosekana kwenye 10 bora..
 
Inategemea unapenda series za aina gani kama hadi leo haijaicheki basi ujue sio testi yako... Sema kama unapenda series za vihoja vya korido za ikulu, special tasks, ugaidi na propaganda zake hakuna zaidi ya 24
Ndo hii 24 hours?
 
Back
Top Bottom