Dah wewe ni mzee wa TVT. Enzi hizo..sikuianza wala sikuimaliza ila nimeitafuta mpaka leo sijaipata. Nawashangaa watoto siku hizi wanaangalia series za kikorea zilizotafsiriwa wanajazana sebuleni wakati hazina hata mvuto. Kulikua na Timeless, The Long wait, It might be you, Maging sino ka man yani kusoma hapo hakuna. Nowdays Philiphines movies na series zimenitoka nimebaki na wamarekani. I wish watoto wangezaliwa kipindi hicho sio leo sijui wanaangalia Sultan mtu anagandishwa robo saa dah wamekosa vingi.