Hapo sawa, maana ninao mpaka natetemeka nikiona ujumbe wenye mashaka lolWivuuuu
Chanteeee,au wewe mke wangu nini sema tu ndio sijui kama upo huku halafu wewe unajua na jina ninalolitumia huku maana sio kwa kunijulia huko lol.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]poyeeee
Sasa mmoja ndio ukafikia hitimisho kuwa vidume vyote vya jf ndio tuko hivyo?