Taja sifa za wanaume wa hapa JamiiForums

Taja sifa za wanaume wa hapa JamiiForums

Chanteeee,au wewe mke wangu nini sema tu ndio sijui kama upo huku halafu wewe unajua na jina ninalolitumia huku maana sio kwa kunijulia huko lol.
Upo huru kuchukua simu yanguuu uangalie Kama kuna app ya Jf
 
*Walagai wa mapenzi na matapeli*

Ebu tupe ufafanuzi hapo ushalagaiwa na wangapi.
 
Back
Top Bottom