Taja sifa za wanaume wa hapa JamiiForums

Taja sifa za wanaume wa hapa JamiiForums

Wanaume wa Jamiiforum wana sifa kedekede za kuvutia na kufurahisha.
Kwa kuangalia Avatar, I'd na michango yao kwenye nyuzi mbalimbali .

Zifuatazo ni sifa za wanaume wa Jf Kwa utafiti wangu binafsi.

...Waongo
....Wanapenda sifaa
.....Wanapenda kutoa maamuzi na. wanalazimisha wanawake tuyafate Kwa lazima
......Walaghai wa mapenzi na matapeli
......Wana wivu hawataki kusikia Ke wa Jf Tupo kwenye mahusiano.
......Ukiwakataaa pm wanakuja kukuponda kwenye comment
.....Wote wanamiliki usafir (magari)
......Hawapendi kurekebishwaa wanapokosea.

2018 naikaribisha Kwa style hii.

.....sifa ya mwanaume wa jF ni mashine (nyoka) hasa wa MMU
 
Umemkimbia mfuga kuku Baada Ya kumjua ukweli wa kipato chake kinapotoka. Hivi huoni na wewe mwanamke mwenye mapenzi ya uongo?
Mkuu umechanganya sio mm niliyekimbia kuolewa na mfuga kuku
 
Nimetoka kula ndizi za kuungwa sasa nataka nishushie na tunda, naweza kula ndizi mbivu kama tunda langu la kushushia?
 
Sio kweli kuwa wote wanamilki magari mimi sina hata baiskeli tu utafiti wako unakasoro kubwa kubwa tu
 
Back
Top Bottom