Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akijibu nitagNdonga ndio nn?!
Wanaume wa Jamiiforum wana sifa kedekede za kuvutia na kufurahisha.
Kwa kuangalia Avatar, I'd na michango yao kwenye nyuzi mbalimbali .
Zifuatazo ni sifa za wanaume wa Jf Kwa utafiti wangu binafsi.
...Waongo
....Wanapenda sifaa
.....Wanapenda kutoa maamuzi na. wanalazimisha wanawake tuyafate Kwa lazima
......Walaghai wa mapenzi na matapeli
......Wana wivu hawataki kusikia Ke wa Jf Tupo kwenye mahusiano.
......Ukiwakataaa pm wanakuja kukuponda kwenye comment
.....Wote wanamiliki usafir (magari)
......Hawapendi kurekebishwaa wanapokosea.
2018 naikaribisha Kwa style hii.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji109]Tumeshawaona watu wenye wanaume humu...lkn kwny uso wa dunia wanakataa hawajawahi kupigwa nao humu [emoji23][emoji23]
Kupiga show tena za kibabe[emoji40]Ndonga ndio nn?!
Hata tango mkuuNimetoka kula ndizi za kuungwa sasa nataka nishushie na tunda, naweza kula ndizi mbivu kama tunda langu la kushushia?
Usiniambie watu wameshakuja mpk huko kukupiga nao...[emoji12] [emoji12]Kupiga show tena za kibabe[emoji40]
Hutaki tena tutaje sifa za me wa jf ama!?Mashine kasagie ungaaa
Kwan ww kuna mtu umempa mzigo kakuponda?!...labda kama game lako lilikuwa very shallowAlafu wakija Humu wanapondana balaaa
Mmmmmhuu!!!!Muache uongooo
Uka mugurira ka motokaa?Gari