Sasa unakuwa na mtu unamuita mpenzi halaf humpi uchi si utoto huoHata mzigo hajapata angepata ningepumua mm
MI Sina tabia hizo zote, Mimi napenda uwe ktk mahusiano ila we hujui tu.Wanaume wa Jamiiforum wana sifa kedekede za kuvutia na kufurahisha.
Kwa kuangalia Avatar, I'd na michango yao kwenye nyuzi mbalimbali .
Zifuatazo ni sifa za wanaume wa Jf Kwa utafiti wangu binafsi.
...Waongo
....Wanapenda sifaa
.....Wanapenda kutoa maamuzi na. wanalazimisha wanawake tuyafate Kwa lazima
......Walaghai wa mapenzi na matapeli
......Wana wivu hawataki kusikia Ke wa Jf Tupo kwenye mahusiano.
......Ukiwakataaa pm wanakuja kukuponda kwenye comment
.....Wote wanamiliki usafir (magari)
......Hawapendi kurekebishwaa wanapokosea.
2018 naikaribisha Kwa style hii.
Ulimpa nn?!Hata papuchi hajapata analeta shobo wa nn
Unavaa kofia?![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona mm sina hizo au mm bado mvulana sio mwanaume?Wanaume wa Jamiiforum wana sifa kedekede za kuvutia na kufurahisha.
Kwa kuangalia Avatar, I'd na michango yao kwenye nyuzi mbalimbali .
Zifuatazo ni sifa za wanaume wa Jf Kwa utafiti wangu binafsi.
...Waongo
....Wanapenda sifaa
.....Wanapenda kutoa maamuzi na. wanalazimisha wanawake tuyafate Kwa lazima
......Walaghai wa mapenzi na matapeli
......Wana wivu hawataki kusikia Ke wa Jf Tupo kwenye mahusiano.
......Ukiwakataaa pm wanakuja kukuponda kwenye comment
.....Wote wanamiliki usafir (magari)
......Hawapendi kurekebishwaa wanapokosea.
2018 naikaribisha Kwa style hii.
Ninaandaa Uzi wa wanawake wa jf wasiooga !! Be care!!