Taja sifa za wanaume wa hapa JamiiForums

Taja sifa za wanaume wa hapa JamiiForums

Demiss popote ulipo kunywa soda kwa hela yako
294b0425d738f99719bfd2c99f44afdf.jpg
 
Wanaume wa Jamiiforum wana sifa kedekede za kuvutia na kufurahisha.
Kwa kuangalia Avatar, I'd na michango yao kwenye nyuzi mbalimbali .

Zifuatazo ni sifa za wanaume wa Jf Kwa utafiti wangu binafsi.

...Waongo
....Wanapenda sifaa
.....Wanapenda kutoa maamuzi na. wanalazimisha wanawake tuyafate Kwa lazima
......Walaghai wa mapenzi na matapeli
......Wana wivu hawataki kusikia Ke wa Jf Tupo kwenye mahusiano.
......Ukiwakataaa pm wanakuja kukuponda kwenye comment
.....Wote wanamiliki usafir (magari)
......Hawapendi kurekebishwaa wanapokosea.

2018 naikaribisha Kwa style hii.
MI Sina tabia hizo zote, Mimi napenda uwe ktk mahusiano ila we hujui tu.
 
Wanaume wa Jamiiforum wana sifa kedekede za kuvutia na kufurahisha.
Kwa kuangalia Avatar, I'd na michango yao kwenye nyuzi mbalimbali .

Zifuatazo ni sifa za wanaume wa Jf Kwa utafiti wangu binafsi.

...Waongo
....Wanapenda sifaa
.....Wanapenda kutoa maamuzi na. wanalazimisha wanawake tuyafate Kwa lazima
......Walaghai wa mapenzi na matapeli
......Wana wivu hawataki kusikia Ke wa Jf Tupo kwenye mahusiano.
......Ukiwakataaa pm wanakuja kukuponda kwenye comment
.....Wote wanamiliki usafir (magari)
......Hawapendi kurekebishwaa wanapokosea.

2018 naikaribisha Kwa style hii.
Mbona mm sina hizo au mm bado mvulana sio mwanaume?
 
Mkiambiwa ukweli mnajua ni uongo na mkiambiwa uongo ndo mnaona ni ukweli!! kwa kifupi hamueleweki
 
Back
Top Bottom