[emoji23] [emoji23] lol kuna tishu tu na ufunguo wa stoo nnayolalaHebu kagua pochi vizuri bhana!!! Si anajua wahenga walisema jungu kuu halikosi ukoko.
Sasa unakuwa na mtu unamuita mpenzi halaf humpi uchi si utoto huo
[emoji23] [emoji23] lol kuna tishu tu na ufunguo wa stoo nnayolala
[emoji23] [emoji23] lol kuna tishu tu na ufunguo wa stoo nnayolala
Duh hapa kweli nimechanganya kumbe yule mdada anaejiita sexless hahahaMkuu umechanganya sio mm niliyekimbia kuolewa na mfuga kuku
Full uongoWanaume wa Jamiiforum wana sifa kedekede za kuvutia na kufurahisha.
Kwa kuangalia Avatar, I'd na michango yao kwenye nyuzi mbalimbali .
Zifuatazo ni sifa za wanaume wa Jf Kwa utafiti wangu binafsi.
...Waongo
....Wanapenda sifaa
.....Wanapenda kutoa maamuzi na. wanalazimisha wanawake tuyafate Kwa lazima
......Walaghai wa mapenzi na matapeli
......Wana wivu hawataki kusikia Ke wa Jf Tupo kwenye mahusiano.
......Ukiwakataaa pm wanakuja kukuponda kwenye comment
.....Wote wanamiliki usafir (magari)
......Hawapendi kurekebishwaa wanapokosea.
2018 naikaribisha Kwa style hii.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Hahaha yaani nimetoka kusoma uzi wa Ontario kule inteligence nikajiuliza kam kuna machine ya kuphotocopy nyumba mimi ningeomba machine ya kuphotocopy papuchi. Tena ile nzuri unaifotoa mara nyingi ukibadilisha rangi, mav.zi na utamu
Sana yaaniKwamba amekufurahisha?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ninaandaa Uzi wa wanawake wa jf wasiooga !! Be care!!