Taja sifa za wanaume wa hapa JamiiForums

Taja sifa za wanaume wa hapa JamiiForums

Hebu kagua pochi vizuri bhana!!! Si anajua wahenga walisema jungu kuu halikosi ukoko.
[emoji23] [emoji23] lol kuna tishu tu na ufunguo wa stoo nnayolala
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Sizani kama wote ni waongo Kwa uliyosema!Bali n baadhi tuh!stop generalized. Stupidity!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti funguo ya stoo unayolala [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]na hiyo tissue paper ni ya nini?
Haya nakutumia vijisenti [emoji6][emoji6][emoji6]

[emoji23] [emoji23] lol kuna tishu tu na ufunguo wa stoo nnayolala
 
Hahaaaa. Mdogo wangu umekuja kivingine leo.

Ila umesahau hili
- walio wengi hawajawahi kutana na mdada asiyenuka papuchi
- walio wengi kwenye mahusiano hakuna asiye na mwanamke asiyepiga mizinga.
- walio wengi wanadharau single mothers wakati waowao ndio visababishi.
- walio wengi wana ndoa zao ila wakiwa huku wanajifanya ni masingle. Teh teh.

Yaani tabu tupu.
 
Wanaume wa Jamiiforum wana sifa kedekede za kuvutia na kufurahisha.
Kwa kuangalia Avatar, I'd na michango yao kwenye nyuzi mbalimbali .

Zifuatazo ni sifa za wanaume wa Jf Kwa utafiti wangu binafsi.

...Waongo
....Wanapenda sifaa
.....Wanapenda kutoa maamuzi na. wanalazimisha wanawake tuyafate Kwa lazima
......Walaghai wa mapenzi na matapeli
......Wana wivu hawataki kusikia Ke wa Jf Tupo kwenye mahusiano.
......Ukiwakataaa pm wanakuja kukuponda kwenye comment
.....Wote wanamiliki usafir (magari)
......Hawapendi kurekebishwaa wanapokosea.

2018 naikaribisha Kwa style hii.
Full uongo

Wengine makapuku gari tunatolea wapi?
 
Na mimi naandaa uzzi wa papuchi za wanawake wa jf maana nyingine ziko kama kukumanga
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Kama umeshawapitia tegemewa kula block muda sio mrefu
 
Hahaha yaani nimetoka kusoma uzi wa Ontario kule inteligence nikajiuliza kam kuna machine ya kuphotocopy nyumba mimi ningeomba machine ya kuphotocopy papuchi. Tena ile nzuri unaifotoa mara nyingi ukibadilisha rangi, mav.zi na utamu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Duh hapa kweli nimechanganya kumbe yule mdada anaejiita sexless hahaha
Naona dish lako LA kichwa liliyumba badala ya kusoma ITV limesoma Lemutuz [emoji342] [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom