Lorenzo Insigne
Senior Member
- Nov 14, 2017
- 132
- 323
Mbona mimi mwenye Guta hujanigusia? kwani sio usafiri?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmmhKupiga show tena za kibabe[emoji40]
MshipaMmmh
Kazi kweli kweli
Ahahahaaaaaa demiss katika ubora wako, unaukoshaga sana moyo wangu.Wanaume wa Jamiiforum wana sifa kedekede za kuvutia na kufurahisha.
Kwa kuangalia Avatar, I'd na michango yao kwenye nyuzi mbalimbali .
Zifuatazo ni sifa za wanaume wa Jf Kwa utafiti wangu binafsi.
...Waongo
....Wanapenda sifaa
.....Wanapenda kutoa maamuzi na. wanalazimisha wanawake tuyafate Kwa lazima
......Walaghai wa mapenzi na matapeli
......Wana wivu hawataki kusikia Ke wa Jf Tupo kwenye mahusiano.
......Ukiwakataaa pm wanakuja kukuponda kwenye comment
.....Wote wanamiliki usafir (magari)
......Hawapendi kurekebishwaa wanapokosea.
2018 naikaribisha Kwa style hii.
Unapambana na visivyojulikana Mkuu wengine wanaume Wanadanga I'd za kikeMi niliwahi kumpenda evelini silt, sky escalate sijui akazingua nikamvaa victorie dah huko shida, nilimgusaga na mamdenyi shida kubwa, juzi nimemvaa mwingine naona kaelewa somo
Nahisi utakuwa mdhaminiii kiukwelii1 anavyonichukia hivyooo