Taja sifa za wanaume wa hapa JamiiForums

Taja sifa za wanaume wa hapa JamiiForums

Dah..wanaume waliobahatika kuingia kwenye sample ya utafiti huu walifaidi sana 🙂🙂
 
Wanaume wa Jamiiforum wana sifa kedekede za kuvutia na kufurahisha.
Kwa kuangalia Avatar, I'd na michango yao kwenye nyuzi mbalimbali .

Zifuatazo ni sifa za wanaume wa Jf Kwa utafiti wangu binafsi.

...Waongo
....Wanapenda sifaa
.....Wanapenda kutoa maamuzi na. wanalazimisha wanawake tuyafate Kwa lazima
......Walaghai wa mapenzi na matapeli
......Wana wivu hawataki kusikia Ke wa Jf Tupo kwenye mahusiano.
......Ukiwakataaa pm wanakuja kukuponda kwenye comment
.....Wote wanamiliki usafir (magari)
......Hawapendi kurekebishwaa wanapokosea.

2018 naikaribisha Kwa style hii.
Ahahahaaaaaa demiss katika ubora wako, unaukoshaga sana moyo wangu.
 
Mi niliwahi kumpenda evelini silt, sky escalate sijui akazingua nikamvaa victorie dah huko shida, nilimgusaga na mamdenyi shida kubwa, juzi nimemvaa mwingine naona kaelewa somo
Unapambana na visivyojulikana Mkuu wengine wanaume Wanadanga I'd za kike
 
Umetumia kipimo gani kuniweka kapu moja na ao pimbi wa jf.?

Usiruke mto kabla hujaufikia mama njoo kwangu mm sio kama wale.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]siwez kuamin hata kidogo
 
Wanapenda kulialia wakiombwa pesa na wapenzi au michepuko yao.
Wabahili kifupi wakipigwa kibomu cha 50000 wanakuja kulia kwenye silidiiiiiiii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom