Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mteja wa bei gani hii unamtajia
Anasema ngoja nizunguke nitarudi
Hawa huwa wanaenda jumla[emoji848]
mara nyingi huwa nafanya hivi, mnisamehe bure
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mteja wa bei gani hii unamtajia
Anasema ngoja nizunguke nitarudi
Hawa huwa wanaenda jumla[emoji848]
Kuna yale mazoea ila yawe na mipakaMteja mwenye kujenga mazoeaa na biashara yako.
Wakikuta muhudumu mpya mwingine hawanunui.Kuna baadhi ya wateja wangu wakikuta mimi nimetoka basi watanisubiri mpaka nirudi au ananipandia hewani kabisa
Mimi wateja wangu wengi ni wasukuma,unaongea biashara na mtu mmoja siku ya kuja kuinunua anakuja na wenzake wanne ambao wote wanamsindikiza aisee omba Mungu Kati ya hao wanne asitokee hata mmoja kutoa mawazo hasi juu ya bidhaa yako.Kuna wateja ukiwaandikia bei yoyote hawajawahi kubisha. Wao huiitaji jumla tu walipie.
Wateja wengi vijana wenye hela hawapendezi sana. Wengi huvaa kawaida. Ukiona ameng'aa sana jua hamna hela.
Mabodaboda wakitumwa dukani, wao ni kulipia uwe umempiga bei au la!
Kuuzia wanawake wenye kipato cha chini huchosha sana kwani hupenda kudadisi kila bidhaa. Watauliza bei ya vitu kwa muda mrefu.
Kuna wateja wanazijua bei za soko zima hadi kero. Hawa huwapigi bei.
Wateja wenye mazoea ya kukopa hao wa kuwaogopa sanaMteja mwenye kujenga mazoea na biashara yako.
Ma experience mazuri sana hayaKuna wale wateja wanaotaka discount (punguzo la bei) utasikia anakwambia nina/tuna mradi mkubwa kwa hiyo nitakuja sana hapa kwako kununua bidhaa nyingi.
Utafanya discount kwa bidhaa chache anazochukua siku hiyo ukijipa moyo atakuwa mteja wangu. Baada ya hapo hautamuona tena.
Ukimpigia simu utasikia kuna pesa wanaisubiria itoke
Huu ni ukweli kabisaKwenye Mikopo sasa, ukisikia mteja unamkopesha kitu au fedha na kumwambia utanilipa kila week/mwexi kiasi fulani na utamaliza kwa miez 2 let say.
Ukisikia anaropoka hili deni nalilipa chini ya huo muda, andika tuu hivo ila hili ndan ya week w mbili hizi nalicover.
My dear kama ulikuwa hujampa fedha au kitu gairi mara moja! Hiyo ni kauli ya wakopaji sugu na matapeli.
And a king never bargains.Mteja ni mfalme
Kwanini unakwazika!?
Huoni kama unaaminiwa?
Bei zikipanda analazimisha utumie za chini.
Chunguza unaemuacha, yawezekana sio mchangamfu au anawapiga bei.Hii tabia inanikwaza kwa kweli
Hivi huwa hamshangai supermarket nk watu hawaombi punguzo? Ni kwasababu huku kwingine mshawazoesha wateja hivyo. Kwahiyo mvumilie tu.Hapa utafikiri sisi ndo tunapandisha Bei kumbe mlolongo ni mrefu
Hivi huwa hamshangai supermarket nk watu hawaombi punguzo? Ni kwasababu huku kwingine mshawazoesha wateja hivyo. Kwahiyo mvumilie tu.
Nina hii tabia 😁😁Bidhaa zako unauzaje, unamtajia bei, kisha anakwambia okay, nilikuwa nafanya window shopping
Yeah! Waweke bei fixed kama akina Frank knows, ukifika unaijua bei kabisa hivyo huna haja ya kulilia punguzo. Sasa wao kitu cha elfu 20 mtu anaanzia 50 huko ili muanze kuzungushana.Ili kupunguza masuala ya kuulizwa ulizwa bei wangekua wanabandika tu bei kwenye bidhaa husika. Supermarkets wanabandika bei mteja anaenda akifahamu bei ya kitu anachonunua