Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi huwa hamshangai supermarket nk watu hawaombi punguzo? Ni kwasababu huku kwingine mshawazoesha wateja hivyo. Kwahiyo mvumilie tu.
“Bei ni 30,000 ila niandikie katika risiti 55,000 VAT yako niambie nikupe usipate hasara ya TRA”
Hawa wazeee wa kupiga maboss wa kampuni [emoji23]
😳 😳 😳 😳....kweli kabisa usemayoMimi wateja wangu wengi ni wasukuma,unaongea biashara na mtu mmoja siku ya kuja kuinunua anakuja na wenzake wanne ambao wote wanamsindikiza aisee omba Mungu Kati ya hao wanne asitokee hata mmoja kutoa mawazo hasi juu ya bidhaa yako.
Ikitokea tu mmoja kasema tofauti biashara hufanyi nao[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hua nina tabia hii sana, ya kutokulilia punguzo, naonaga sawa tu...Kuna wateja ukiwaandikia bei yoyote hawajawahi kubisha. Wao huiitaji jumla tu walipie.
Hapo Kuna uwezekano mkubwa Sana wa kukukopa , mm huwa nawajibu nimesafir nipo msiban , hata hivyo Nina Shida na hela hatar , ,Kuna baadhi ya wateja wangu wakikuta mimi nimetoka basi watanisubiri mpaka nirudi au ananipandia hewani kabisa
wateja wawili wa kike wanaotembea pamoja ... wana tabia moja anauliza bei wengin anajifanya kushtuka kiufup sio wanunuaji wala nn waznguaj tuKuna wateja ukiwaandikia bei yoyote hawajawahi kubisha. Wao huiitaji jumla tu walipie.
Wateja wengi vijana wenye hela hawapendezi sana. Wengi huvaa kawaida. Ukiona ameng'aa sana jua hamna hela.
Mabodaboda wakitumwa dukani, wao ni kulipia uwe umempiga bei au la!
Kuuzia wanawake wenye kipato cha chini huchosha sana kwani hupenda kudadisi kila bidhaa. Watauliza bei ya vitu kwa muda mrefu.
Kuna wateja wanazijua bei za soko zima hadi kero. Hawa huwapigi bei.