Taja sifa za wateja wako zinazofurahisha

“Bei ni 30,000 ila niandikie katika risiti 55,000 VAT yako niambie nikupe usipate hasara ya TRA”

Hawa wazeee wa kupiga maboss wa kampuni [emoji23]
 
Hivi huwa hamshangai supermarket nk watu hawaombi punguzo? Ni kwasababu huku kwingine mshawazoesha wateja hivyo. Kwahiyo mvumilie tu.

Wanazoeshwaje? Yaani nimefungua biashara leo mtu anakuja kuomba discount unasema nimemzoesha?
Lini na wapi?
 
“Bei ni 30,000 ila niandikie katika risiti 55,000 VAT yako niambie nikupe usipate hasara ya TRA”

Hawa wazeee wa kupiga maboss wa kampuni [emoji23]

Hahhaaa hawa mafundi wakiwa wanapiga maboss zao[emoji28][emoji28]

Ukipelekewa receipt unasema yes nimekuweza
 
😳 😳 😳 😳....kweli kabisa usemayo
 
Kuna wale wateja wapya kwenye vipodozi..amenunua katumia ndani ya week ana complain mbona sijawa vile nilivyotaka ..week??!!..haha..na hapo unakua umeshamwambia hiki kipodozi ni organic sio Cha kukupa magic kwa muda mfupi .unahitaji muda na uvumilivu...haki Tena nachekaga na wateja wa hivyo Basi tu 😂😂

Na Kuna wale wa kutaka kuonana na muuzaji ..dah nachokaga
 
Kuna baadhi ya wateja wangu wakikuta mimi nimetoka basi watanisubiri mpaka nirudi au ananipandia hewani kabisa
Hapo Kuna uwezekano mkubwa Sana wa kukukopa , mm huwa nawajibu nimesafir nipo msiban , hata hivyo Nina Shida na hela hatar , ,
 
wateja wawili wa kike wanaotembea pamoja ... wana tabia moja anauliza bei wengin anajifanya kushtuka kiufup sio wanunuaji wala nn waznguaj tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…