Taja sifa za watoto wa kiume waliolelewa na single mother

Taja sifa za watoto wa kiume waliolelewa na single mother

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2016
Posts
2,536
Reaction score
4,621
Hapo vip!

Kiukweli kuna madhara makubwa mtoto wa kiume kulelewa na mama tu.
Madhara.
1.Hana msimamo kama mwanaume.
2.Anaamini ushauri wa mwanamke kuliko wa mwanaume.
3.Sio mtu wa kuaminika kama mwanaume mwenye kusimama kama mwanaume(anaweza akawa msaliti juu ya jambo fulani kirahisi)
4.Hawezi kuwa baba bora kwenye familia,anatawaliwa na mwanamke katika ndoa..hana kauli kwasababu mama yake alimtawala kwenye kila kitu.
5.sio wajasiri wala hodari
 
Hawezi lelewa na single mother kama dingi hujakimbia majukumu yako. It's that simple.
Hao masingle mother wamekimbiwa na wanaume au unaongea simple tu,wengi wa wanawake wamejikuta wanazaa zaa ovyo kwasababu ya tabia zao..wengine wanashindwa kujua hata baba wa mtoto..waliokimbia wapo ila ni asilimia ndogo mnoo
 
Matokeo yoyote ya kitabia kwa mtoto aliyelelewa aidha na baba tu au mama tu pasipo sababu ya kifo.. Mtoto hapaswi kulaumiwa
 
Sio wote kuna watoto wanalelewa na single mothers wanakuwa na akili na wanajielewa kuliko hata waliokelewa na wazazi wote, naongea nilichoshuhudia.
Kama mama anajielewa mtoto atalelewa vyema.
 
Hao masingle mother wamekimbiwa na wanaume au unaongea simple tu,wengi wa wanawake wamejikuta wanazaa zaa ovyo kwasababu ya tabia zao..wengine wanashindwa kujua hata baba wa mtoto..waliokimbia wapo ila ni asilimia ndogo mnoo

Mwanamke anayezaa hovyo anazalishwa na mwanaume anayezaa makini? Wewe kama ni makini unaweza zaa na mwanamke wa hovyo? Nani wa hovyo zaidi hapo?
 
Mwanamke anayezaa hovyo anazalishwa na mwanaume anayezaa makini? Wewe kama ni makini unaweza zaa na mwanamke wa hovyo? Nani wa hovyo zaidi hapo?
Sipendagi vijimaswali kama hivi kwasababu imekaa kwa mfumo wa ubishi..we amini unavyo amini na mimi ni amini ninavyo amini
 
Akitaka kununua kiwanja lazima amuulize mamake..."Maaa i want to buy a plot.."
Zee nina ndevu kibao kila siku maaa...

Maa nasikia mafua ninywe dawa gani ha ha ha
 
Wanaamini kuvuta bangi ndo usela halafu wakikamatwa wanaishia ngomeni mpaka mama aje alipe faini ndo anatoka
 
Back
Top Bottom