Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Dgo wanakufukua??Hata kama wewe ni single mother..udikasirike vumilia tuseme ukweli
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dgo wanakufukua??Hata kama wewe ni single mother..udikasirike vumilia tuseme ukweli
Sipendagi vijimaswali kama hivi kwasababu imekaa kwa mfumo wa ubishi..we amini unavyo amini na mimi ni amini ninavyo amini
Tatizo la Single mother ukilitizama kama ni tatizo la wanawake pekee tunakosea kama jamii. Japo wanawake wanachangamoto zao na mauzi yao, ila kwa siku hizi kuna wana wanzingua sana. Umetia mimba mwanamke anazingua husimsuse mwanao, find the way ya kumjenga mwanao awe baba bora, Japo probability yake ni ndogo ila kwa chance hiyo hiyo timiza wajibu wako.Hapo vip!
Kiukweli kuna madhara makubwa mtoto wa kiume kulelewa na mama tu.
Madhara.
1.Hana msimamo kama mwanaume.
2.Anaamini ushauri wa mwanamke kuliko wa mwanaume.
3.Sio mtu wa kuaminika kama mwanaume mwenye kusimama kama mwanaume(anayeza akawa msaliti juu ya jambo fulani kirahisi)
4.Hawezi kuwa baba bora kwenye familia,anatawaliwa na mwanamke katika ndoa..hana kauli kwasababu mama yake alimtawala kwenye kila kitu.
5.sio wajasiri wala hodari
😀😀😀 aisee muafrika bhanaSababu huna mental capacity to comprehend.
Mbona wewe hauna hizi sifa?Hapo vip!
Kiukweli kuna madhara makubwa mtoto wa kiume kulelewa na mama tu.
Madhara.
1.Hana msimamo kama mwanaume.
2.Anaamini ushauri wa mwanamke kuliko wa mwanaume.
3.Sio mtu wa kuaminika kama mwanaume mwenye kusimama kama mwanaume(anaweza akawa msaliti juu ya jambo fulani kirahisi)
4.Hawezi kuwa baba bora kwenye familia,anatawaliwa na mwanamke katika ndoa..hana kauli kwasababu mama yake alimtawala kwenye kila kitu.
5.sio wajasiri wala hodari
Hapo vip!

Sio wote kaka kumbuka Shaka zulu alikuwajeHapo vip!
Kiukweli kuna madhara makubwa mtoto wa kiume kulelewa na mama tu.
Madhara.
1.Hana msimamo kama mwanaume.
2.Anaamini ushauri wa mwanamke kuliko wa mwanaume.
3.Sio mtu wa kuaminika kama mwanaume mwenye kusimama kama mwanaume(anaweza akawa msaliti juu ya jambo fulani kirahisi)
4.Hawezi kuwa baba bora kwenye familia,anatawaliwa na mwanamke katika ndoa..hana kauli kwasababu mama yake alimtawala kwenye kila kitu.
5.sio wajasiri wala hodari
Yule diamond anajielewa ukimuangalia vizuri?muulize ameenda kuchukua nini kwa P.Dady...ndio mambo hayo tuyazungumzia.Kati ya wewe na Diamond ni nani aliyelegea?