Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hao masingle mother wamekimbiwa na wanaume au unaongea simple tu,wengi wa wanawake wamejikuta wanazaa zaa ovyo kwasababu ya tabia zao..wengine wanashindwa kujua hata baba wa mtoto..waliokimbia wapo ila ni asilimia ndogo mnooHawezi lelewa na single mother kama dingi hujakimbia majukumu yako. It's that simple.
Hata kama wewe ni single mother..udikasirike vumilia tuseme ukweliHila jf ya siku hizi watoto mmevamia kwa kasi sana
Hao masingle mother wamekimbiwa na wanaume au unaongea simple tu,wengi wa wanawake wamejikuta wanazaa zaa ovyo kwasababu ya tabia zao..wengine wanashindwa kujua hata baba wa mtoto..waliokimbia wapo ila ni asilimia ndogo mnoo
😀😀😀😀😀😀Hata kama wewe ni single mother..udikasirike vumilia tuseme ukweli
Sipendagi vijimaswali kama hivi kwasababu imekaa kwa mfumo wa ubishi..we amini unavyo amini na mimi ni amini ninavyo aminiMwanamke anayezaa hovyo anazalishwa na mwanaume anayezaa makini? Wewe kama ni makini unaweza zaa na mwanamke wa hovyo? Nani wa hovyo zaidi hapo?
Upo sawa kabisa.Hila jf ya siku hizi watoto mmevamia kwa kasi sana
Vitu vyenu vya kiutu uzima ni zip au niutapeli wa mademu huku jf?nonsenseUpo sawa kabisa.