Taja sifa za watoto wa kiume waliolelewa na single mother

Malezi ya mtoto hayaangalii wewe ni single maza au single faza pia kila mtoto ana id na iq yake

Kila binadamu ana sifa na tabia yake(unique)HATUFANANI!
 
Tatizo la Single mother ukilitizama kama ni tatizo la wanawake pekee tunakosea kama jamii. Japo wanawake wanachangamoto zao na mauzi yao, ila kwa siku hizi kuna wana wanzingua sana. Umetia mimba mwanamke anazingua husimsuse mwanao, find the way ya kumjenga mwanao awe baba bora, Japo probability yake ni ndogo ila kwa chance hiyo hiyo timiza wajibu wako.

Sometimes kuzalisha wanawake tofauti tofauti halafu huna time ya kulea sio ujanja.Timiza wajibu wako ujenge kizazi kilicho bora cha kesho,kwani single parent haijawahi kuwa na output nzuri, japo wapo wachache wanao bahatika kuwa na tabia nzuri, ila wengi saikolojikali wanakuwa hawapo vizuri.
 
Hakuna lenye ukweli hata moja kwenye kile ambacho umeandika hapo.afu watanzania wengi mno wamelelewa na single mama kwa utafiti wangu mdogo niliofanya
 
Mbona wewe hauna hizi sifa?
 

Kati ya wewe na Diamond ni nani aliyelegea?
 
Sio wote kaka kumbuka Shaka zulu alikuwaje
 
Kati ya wewe na Diamond ni nani aliyelegea?
Yule diamond anajielewa ukimuangalia vizuri?muulize ameenda kuchukua nini kwa P.Dady...ndio mambo hayo tuyazungumzia.

Diamond hawezi kusimama kiume..ashukuru mziki umemtoa...hauoni ametawaliwa na mama yake,hana maamuzi yeyote mama yake ndio kila kitu mpaka ameshindwa kuishi na mwanamke
Yule diamondi hawezi kusikiliza ushauri wa wanaume wenzake zaidi ya ushauri wa mamake
 
wana tabia mtambuka, ila tusiwalaumu kwani hawakupenda iwe hivyo, bali wamejikuta tu ni watoto wa singo mama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…