Taja simulizi 3 bora ulizosoma JamiiForums 2023

Taja simulizi 3 bora ulizosoma JamiiForums 2023

1)Shetani rudisha akili zetu na mke wangu by singano JR lkn ananyataa kuitoa .
2)Mimi na Mimi by Elton Tonny jamaa anatujali sana kila siku anashusha mzigoo.
 
  • Thanks
Reactions: ram
Hivi hii huwa ni nzuri?nilitaka nianze kushuka nayo ila naona baadhi ya episode zimeondolewa,afu km ina alosto hivi
Wahusika ni wengi ukizubaa lazima utajichanganya....ila walioisoma wanasema iko poa...Mimi nitajaribu kuisoma tena labda nikiwa kijijini kusiko na kelele.
 
Ila yote kwa yote hakuna msimuliaji mzuri kama Abibu Anga aka The bold huyu jamaa ni hatari akifuatilwa na kina Da Vinci, kuna jamaa mmoja pia alikuwa anajiita Humble African sijui alipotelea wapi, kina Malcom, Analyse, nk.
 
Back
Top Bottom