Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Pamoja mkuu 👊safi sana ahadi yako naikumbuka mkuu kwako zako nimeweka kwenye fungu la elimu manake ni darasa kabisa la maisha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja mkuu 👊safi sana ahadi yako naikumbuka mkuu kwako zako nimeweka kwenye fungu la elimu manake ni darasa kabisa la maisha.
Biashara ya Uber ya Insider Man
Hivi hii huwa ni nzuri?nilitaka nianze kushuka nayo ila naona baadhi ya episode zimeondolewa,afu km ina alosto hiviKuna ile nilimdhania malaya kumbe bikra
OMUGHAKAFindi ni yule jamaa mkurya anaitwa nani sjui?
Wahusika ni wengi ukizubaa lazima utajichanganya....ila walioisoma wanasema iko poa...Mimi nitajaribu kuisoma tena labda nikiwa kijijini kusiko na kelele.Hivi hii huwa ni nzuri?nilitaka nianze kushuka nayo ila naona baadhi ya episode zimeondolewa,afu km ina alosto hivi
Naomba mwenye peniela pleasePeniela
Tulichomfanya yule mchawi hatokuja kusahau by Umughaka
Kazi ya dreva tax ilivyonikutanisha na mrembo wa ajabu by Insiderman
Hii ndio movie kali kwangu haijapata mpinzani..ikifuatiwa na Patrick MathewNilimdhania kahaba kumbe bikra ile ni hatari na nusu kiukweli
Naunga mkono hojaIle ya konda msafi na mpenzi wake Kumbu. Nilifuatilia mwanzo mwisho.
Naziomba mkuu pleaseNaipenda jumamosi yangu,
Niliolewa na jini bila kitarajia
Hizi nilikuwa na uraibu nilizichukua zote ninazo mwanzo mwisho
Wakuu mnge zi tag1.Sasha mlinzi wa nafsi
2. Peniala
3.Do not shout- usipige kelele
4.Vita ya kisasa
5. FROM ISRA TO ISRA