New Nytemare
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 3,333
- 2,484
huo sio ugonjwa mzee inaitwa TONSILS STONE ingia Youtube uione vizuri...Na kuna tule tududu fulani tweupe ukivuta ule ute wa kooni tunatoka,ukituona unaweza tuchukulia poa...nusa sasa uone habari yake....kadogo ila kana harufu ya ukiunganisha madampo yote ya ukanda wa pwani.
Nilisoma nikaambiwa siyo tatizo ila ni kawaida tu,ila bado siamini
watu wengi hawaijui kabisa hata mademu wakali wanavo