Taja tatizo lolote la kiafya la ajabuajabu au unalohisi mashaka usaidiwe

Taja tatizo lolote la kiafya la ajabuajabu au unalohisi mashaka usaidiwe

Na kuna tule tududu fulani tweupe ukivuta ule ute wa kooni tunatoka,ukituona unaweza tuchukulia poa...nusa sasa uone habari yake....kadogo ila kana harufu ya ukiunganisha madampo yote ya ukanda wa pwani.

Nilisoma nikaambiwa siyo tatizo ila ni kawaida tu,ila bado siamini
huo sio ugonjwa mzee inaitwa TONSILS STONE ingia Youtube uione vizuri...
watu wengi hawaijui kabisa hata mademu wakali wanavo
 
H

Ahhaa kagumu halafu.. nilikuwa na hilo tatizo kitambo sana.. ila nilipona sijui na nn maana niliambiwa ni fungus nikaacha kutumia vitu baridi na vilivyopoa, ila dawa nilipewa na huyo dr leo Mungu amrehemu huko alipo siikumbuki hiyo dawa yena kahosp kenyewe ambako niliponea kaajabu tu. wakat huko mwanxo nilikoswa na operation ya koo.. sijui wangenifantiaje jaman.... pole sana ndugu kwa yote hayo..
tonsils stone ingia youtube uione watu wengi wanayo hasa wanao nuka midomo waka miswaki wanapiga...
 
huo sio ugonjwa mzee inaitwa TONSILS STONE ingia Youtube uione vizuri...
watu wengi hawaijui kabisa hata mademu wakali wanavo
Ahh mtu mwingine akisikia kale kadude anaweza dhania umeshaanza kufa unaoza taratibu
 
Halo kaugonjwa ninako kakucheua pia nakapendaga Sana. Kingine, Kila tarehe za mwisho wa mwezi Kuna vipele Kama 8 mpk 10 vunaota kwenye kichwa Cha uume na kupotea baada ya siku mbili au tatu. Tatizo hili ninalo mwaka wa tatu sasa
Ushaenda hospital hilo tatizo la vipele?
 
Sijaenda mkuu. Sijaona bado direct effect so najipa jipa moyo
Kwenye hili la vipele mkuu inaweza kuwa dalili ya maambukizi kwenye viungo vya uzazi so jitahidi umuone daktari.

Halafu imagine umepata vipele na ukapata demu,huwa unafanyaje?
 
Back
Top Bottom