Taja tatizo lolote la kiafya la ajabuajabu au unalohisi mashaka usaidiwe

huo sio ugonjwa mzee inaitwa TONSILS STONE ingia Youtube uione vizuri...
watu wengi hawaijui kabisa hata mademu wakali wanavo
 
tonsils stone ingia youtube uione watu wengi wanayo hasa wanao nuka midomo waka miswaki wanapiga...
 
huo sio ugonjwa mzee inaitwa TONSILS STONE ingia Youtube uione vizuri...
watu wengi hawaijui kabisa hata mademu wakali wanavo
Ahh mtu mwingine akisikia kale kadude anaweza dhania umeshaanza kufa unaoza taratibu
 
Halo kaugonjwa ninako kakucheua pia nakapendaga Sana. Kingine, Kila tarehe za mwisho wa mwezi Kuna vipele Kama 8 mpk 10 vunaota kwenye kichwa Cha uume na kupotea baada ya siku mbili au tatu. Tatizo hili ninalo mwaka wa tatu sasa
Ushaenda hospital hilo tatizo la vipele?
 
Sijaenda mkuu. Sijaona bado direct effect so najipa jipa moyo
Wahi hospital aisee, ukiona kitu cha ajabu chochote kwenye viungo vya uzazi wahi kwa dokta haraka usije poteza uwanaume wako kizembe
 
Sijaenda mkuu. Sijaona bado direct effect so najipa jipa moyo
Kwenye hili la vipele mkuu inaweza kuwa dalili ya maambukizi kwenye viungo vya uzazi so jitahidi umuone daktari.

Halafu imagine umepata vipele na ukapata demu,huwa unafanyaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…