Emery Paper
JF-Expert Member
- Jun 1, 2019
- 1,427
- 2,728
Si nimempendelea hiyo 26 niliyompa ?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah
Au Gerrard Pique na Shakira Mebarak, Gerrard ana miaka 32 Shakira ana miaka 42.View attachment 1226934
Mariah Carey
View attachment 1226935
Nick Cannon
Waliwahi kuwa wapenzi Mariah Carey akiwa na 44yrs old na Nick Cannon akiwa na 34 yrs old. If I'm not mistaken.
[emoji1787][emoji1787]aahh kabisaSi nimempendelea hiyo 26 niliyompa ?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Nimewahi siti, nikitaja ili iweje Kuna papuchi ya bure au
34Usiongope na wala usiogope Taja Umri wako Sahihi hapa,
Kwangu 25 yrs old.
Cc Zero IQ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shikamo... Lakini kumbuka umri sio miaka...!!!
Punguza miezi kadhaa maana mwakani mwezi wa pili nafikisha.Sijui nikupunguzie hiyo 26 niliyokupa ?
25 na miezi 8. Nasubiri nondo kwenye ule uzi wetu kule.Punguza miezi kadhaa maana mwakani mwezi wa pili nafikisha.
Amekubali kupunguziwa. Nimempa 25 na miezi 8.[emoji1787][emoji1787]aahh kabisa
40Umri wangu....loading
cc....
Sawa sawa kabisaAmekubali kupunguziwa. Nimempa 25 na miezi 8.
Abeeeeh[emoji1787][emoji1787]aahh kabisa
Usijali kabisa.25 na miezi 8. Nasubiri nondo kwenye ule uzi wetu kule.
πππSawa sawa kabisa
Au uongo?? Kumbe wewe mdunchu hivyo??Abeeeeh
Una miaka 33 siyo?? Au nimekosa??Mimi huwa naona kwenye Salary sleep nimeandikiwa nastaafu 2046,sasa sijui nina miaka mingapi ?
Mduchu sana huyo sema akili nyingi mno zimetangulia umriAu uongo?? Kumbe wewe mdunchu hivyo??