No wonder30-10=
Umesahau kule Pitia chini ya Mti nilipokwambia age yangu ulivyoshangaa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Nani dogo sasa Beberu?, hiyo miaka nimeedit hiyo as you know humu is all about fake things,fake ID's etc[emoji1] [emoji1] am above 45 yrs ujue, sijambo lakini mambo mwituni!
Hiyo ntabisha mpak kuandamana aisee.[emoji23][emoji23]hy hy umptia sasa.
Kama hujaolewa ukistaafu nishtue tujenge maisha [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Nimebakiza miaka ishirini tu na ushee nistaafu mimi.
@Mshana jr emb rudia haya maneno Kwa kingereza!Shikamo... Lakini kumbuka umri sio miaka...!!!
Hahhahaha polee yak ndo ukwel huo[emoji23][emoji23]Hiyo ntabisha mpak kuandamana aisee.
102yrsUsiongope na wala usiogope Taja Umri wako Sahihi hapa,
Kwangu 25 yrs old.
Cc Zero IQ
We ona raha tu kuudanganya umma.Hahhahaha polee yak ndo ukwel huo[emoji23][emoji23]
21 ndo namba peke yake hapo. Tumeelewa.21 savage ana nyimbo kali Sana... Naikubali 🤘 🌟 Akiwa na post Malone, Pia metro boomin akiwa na Future....
Nikstaafu. Unamendea mafao?Kama hujaolewa ukistaafu nishtue tujenge maisha [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Unakumbuka siku ile nilikuambia nini?Mmhh
Siwezi kumendea mafao yako mwalim. Basi kama vp nitafute sahv ule mafao yangu ya kila siku[emoji2960][emoji2960][emoji2960]Nikstaafu. Unamendea mafao?
Babe umenikimbia chumbani, kumbe uko huku? [emoji2817][emoji2817][emoji2817], haya haraka rudi chumbani tulale![emoji848][emoji848][emoji848]Unakumbuka siku ile nilikuambia nini?
Babe nasubiria ulale kwanza ndio nitakujaBabe umenikimbia chumbani, kumbe uko huku? [emoji2817][emoji2817][emoji2817], haya haraka rudi chumbani tulale![emoji848][emoji848][emoji848]