Taja Umri wako sahihi

Taja Umri wako sahihi

Hahaha.... Nimeipenda hii..imekaa poa!

Ngoja mi nikujibu kisiriaz!

Tafuta Korean historical drama inaitwa Jang Youngsil. Hii drama inamzungumzia huyu scientist wa ukweli wa Korea karne zilizopita, harakati alizopitia, mahesabu aliyopiga mpaka kugundua dakika, sek na saa. na sayansi ya anga mpaka aidia ya kutengeneza saa ilivyomjia.

Nisikuchoshe! Itafute hii drama utaipenda! Aliyeigiza ni yule mshikaji aliyeigiza drama ya Jumong.
Ntakutafuta... Mzee
 
Back
Top Bottom