Taja Umri wako sahihi

Taja Umri wako sahihi

Nani dogo sasa Beberu?, hiyo miaka nimeedit hiyo as you know humu is all about fake things,fake ID's etc[emoji1] [emoji1] am above 45 yrs ujue, sijambo lakini mambo mwituni!
Umesahau kule Pitia chini ya Mti nilipokwambia age yangu ulivyoshangaa! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
Fikiria namba

Jumlisha yenyewe kwa yenyewe

Jibu lako zidisha kwa 4

Jibu utalopata gawanya kwa ile namba uliyofikiria mara ya kwanza

Jibu lako litakua 8 then zidisha mara 7 ndio Umri wangu
 
Nimebakiza miaka ishirini tu na ushee nistaafu mimi.
Kama hujaolewa ukistaafu nishtue tujenge maisha [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
 
21 savage ana nyimbo kali Sana... Naikubali 🤘 🌟 Akiwa na post Malone, Pia metro boomin akiwa na Future....
 
Back
Top Bottom