Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Hatujambo we mzee habari yakoNa mm niwasalimie Rafiki zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hatujambo we mzee habari yakoNa mm niwasalimie Rafiki zangu
Nzuri kabisaHatujambo we mzee habari yako
Hahahaha, umeona eehKumbe watoto ni wengi sana humu.
Sanaaa utajikuta unachart na mtoto wakoKumbe watoto ni wengi sana humu.
Nafurahi kusikia hivyo we mzeeNzuri kabisa
Nami pia nafurahi zaidi kuona uko HappyNafurahi kusikia hivyo we mzee
Mie Alhamdulillah nipo napambana na hali yangu Dada.Nipo mzima dada akee vipi upande wako
Hatujambo rafiki. Kumekucha aiseee.Na mm niwasalimie Rafiki zangu
Mzima kabisaHatujambo rafiki. Kumekucha aiseee.
Mzima?
Sawa BossKazi kwanza malipo baadae.
Haya kumekucha Mtani.Mzima kabisa
Mmmmh! Hujambo Shadeeya?Dada kumbe tushazeeka eee? 🤔🤔🤔
Tujiandae kula pensheni tu sasa.
Sijambo kabisa Ses. Kumekucha.Mmmmh! Hujambo Shadeeya?
Naam kumekucha na kamvua...unatafutwaSijambo kabisa Ses. Kumekucha.
Hiyo mvua ni kama huku Madongo kuinama tu mana nako pia inanyesha.Naam kumekucha na kamvua...unatafutwa
Hiyo mvua ni kama huku Madongo kuinama tu mana nako pia inanyesha.
Unamaanisha huko kwenu ushuani inanyesha pia Shadeeya?Hiyo mvua ni kama huku Madongo kuinama tu mana nako pia inanyesha.
Wee Shunie wewe, acheni kuji forward🤣🤣🤣Hahahah tumejizeekea dada
Dada kama huku kwetu mabondeniMie Alhamdulillah nipo napambana na hali yangu Dada.
Mvua tu huku madongo kuinama. Maji mpaka ndani. [emoji85]