Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaha.... Nimeipenda hii..imekaa poa![emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 1224727
Naridhika na kipato changu cha ualimu,sina haja ya kukufuata.Siwezi kumendea mafao yako mwalim. Basi kama vp nitafute sahv ule mafao yangu ya kila siku[emoji2960][emoji2960][emoji2960]
[emoji23][emoji23]44:-2=We ona raha tu kuudanganya umma.
Mwalimu mwenzangu unaniangusha, mi nataka tufanye collabo au wewe hukatwi HESLB kama mimi?![emoji38][emoji38][emoji38]Naridhika na kipato changu cha ualimu,sina haja ya kukufuata.
AhsanteHahaha.... Nimeipenda hii..imekaa poa!
Ngoja mi nikujibu kisiriaz!
Tafuta Korean historical drama inaitwa Jang Youngsil. Hii drama inamzungumzia huyu scientist wa ukweli wa Korea karne zilizopita, harakati alizopitia, mahesabu aliyopiga mpaka kugundua dakika, sek na saa. na sayansi ya anga mpaka aidia ya kutengeneza saa ilivyomjia.
Nisikuchoshe! Itafute hii drama utaipenda! Aliyeigiza ni yule mshikaji aliyeigiza drama ya Jumong.
Nyuzi zako zinafahamika zipoje. Tangu mwaka jana nilikuwa ni mwenye kiziona na maudhui ya nyuzi zako ni yale yale, na kipindi hicho ulikuwa na umri wa miaka 24.Kivipi mkuu?
Mmmh..23 years old ,[emoji97]
Mingapi unayo??Nafurahi unajua hilo
Mazingira mkuu nimeanza kuwachakata ata 16 Age when i was form 2.Nyuzi zako zinafahamika zipoje. Tangu mwaka jana nilikuwa ni mwenye kiziona na maudhui ya nyuzi zako ni yale yale, na kipindi hicho ulikuwa na umri wa miaka 24.
Nikitafakari nyuzi zako na umri wako..mmmh![emoji848][emoji848]
Mi nna 27 sijala hata mmoja!Mazingira mkuu nimeanza kuwachakata ata 16 Age when i was form 2.
Mpaka hapa kwenye 25, nimewachakata wengi sana wa umri mkubwa kuwahi kumchakata sasa hivi ana miaka 41.
33Mingapi unayo??
Rafiki naomba niwe kiben ten wako....