Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Wewe unapomuachia jiwe aendelee kubakia madarakani licha ya kuwa anapoteza watu na hawajulikani walipo,anapiga watu risasi mchana kweupe,anatumia mabilioni yetu ya kodi kununua wabunge wa upinzani,uhuru wa kujieleza umebakia JF peke yake e.t.c ina maana hujasoma civics??[emoji53][emoji53][emoji53]Unasitahili kabisa tuzo ya mtoto mjinga bora wa karne hii hata sayansi ya darasa la sita hukusoma?
Hilo swali ukiwauliza tume ya uchaguzi na police linawafaa sana maana sikumbuki ni lini CCM imewahi shinda uchaguzi bila mizengweWewe unapomuachia jiwe aendelee kubakia madarakani licha ya kuwa anapoteza watu,anapiga watu risasi,anatumia mabilioni yetu ya kodi kununua wabunge wa upinzani,uhuru wa kujieleza umebaki JF peke yake e.t.c ina maana hujasoma civics??
hahahaha...K
Kumbe wewe ni msukuma ambae hukukatwa govi kwa msaada wa Jakaya ?
Hii kitu kama iko applicable vileeUkimruka alielala basi sharit umrudie kumruka tena la sivyo atakuwa harefuki.