Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Wewe unapomuachia jiwe aendelee kubakia madarakani licha ya kuwa anapoteza watu na hawajulikani walipo,anapiga watu risasi mchana kweupe,anatumia mabilioni yetu ya kodi kununua wabunge wa upinzani,uhuru wa kujieleza umebakia JF peke yake e.t.c ina maana hujasoma civics??[emoji53][emoji53][emoji53]Unasitahili kabisa tuzo ya mtoto mjinga bora wa karne hii hata sayansi ya darasa la sita hukusoma?