Taja Uongo mkubwa ambao ushawahi kuambiwa enzi za utotoni!

Taja Uongo mkubwa ambao ushawahi kuambiwa enzi za utotoni!

Unasitahili kabisa tuzo ya mtoto mjinga bora wa karne hii hata sayansi ya darasa la sita hukusoma?
Wewe unapomuachia jiwe aendelee kubakia madarakani licha ya kuwa anapoteza watu na hawajulikani walipo,anapiga watu risasi mchana kweupe,anatumia mabilioni yetu ya kodi kununua wabunge wa upinzani,uhuru wa kujieleza umebakia JF peke yake e.t.c ina maana hujasoma civics??[emoji53][emoji53][emoji53]
 
Wewe unapomuachia jiwe aendelee kubakia madarakani licha ya kuwa anapoteza watu,anapiga watu risasi,anatumia mabilioni yetu ya kodi kununua wabunge wa upinzani,uhuru wa kujieleza umebaki JF peke yake e.t.c ina maana hujasoma civics??
Hilo swali ukiwauliza tume ya uchaguzi na police linawafaa sana maana sikumbuki ni lini CCM imewahi shinda uchaguzi bila mizengwe
 
Mbunge/diwani kununuliwa halafu anadai anaunga mkono juhudi za rais kuliletea taifa maendeleo na mapambano ya ufisadi, nazani huu unaweza kuwa uongo mkuu sana kuwahi kutokea yani hata shetani mwenyewe hajawahi kuongopa kiasi hicho
 
Ukikojoa alipokojoa mwenzio mama ako anakatika titi ( nyonyo ) moja[emoji23]
 
Hivi hii uongo yote still mnautumia kwa kizazi hiki au ipo update , maana kizazi hiki sijui utataumia uongo gani kumdanganya huyo mtoto
 
Back
Top Bottom